Utaratibu wa kuzindua filamu pindi inapokwisha umekua ni kitu cha kawaida sana kwa wasanii wakubwa wa Bongo movies.Lakini kwa wasanii wachanga kufanya kitu kama hiko imekua ni nadra sana katika tasnia ya film nchini.Kampuni ya SCHIEDAM MEDIA leo inazindua filamu yao iliyochezwa na wasanii wachanga tupu,nasema haya ni maendeleo kwani ni wasanii wachache ambao wanaweza kufanya kitu kama hiko.Akiongea na dullah masende blog mmoja wa waratibu wa shughuri hiyo ambaye pia ni director katika film hiyo AMANZY MOHAMMED amesema kila kitu kipo tayari na maandalizi yote yamekamilika na show itaanza saa kumi kamili jioni,aliongeza Amanzy mbali na uzinduzi wa filamu pia kutakua na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii wa bongo fleva na Singeli.Pia kutakua na burudani kutoka kwa DRAMA BOY, papaa Masai pamoja na kundi zima la the Chocalate team,Yaani watu w
About Me
Jumamosi, 15 Oktoba 2016
MADEBE MGENI MUALIKWA KATIKA USIKU WA MOYO WA SHETANI LEO.

Tags
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
EmoticonEmoticon