Jumatatu, 24 Oktoba 2016

MADEBE LIDAI ALIZA WATU.

Tags

Sanaa ni uwezo na ubunifu wa msanii katika kuwasilisha mawzo na fikra zake kwa hadhira kwa kutumia ubunifu.Tukija katika tasnia ya filamu nchini wasanii wengi wa bongo wamekosa ubunifu na hii inatokana na ufinyu wa bajeti ama mawazo ya msanii husika.
Madebe lidai ni msanii anayekuja kwa kasi katika suala Zima la ubunifu na hivi karibuni ameibua sintofahamu kwa mashabiki wake baada ya kupost picha ya kabuli lililoandikwa jina lake katika ukurasa wake wa facebook.
Akiitolea ufafanuzi picha hiyo madebe alisema...>>kwa sasa nipo katika utengenezaji wa film yangu hiyo na mashabiki wangu wasiwe na wasiwasi mimi niko hai na naendelea na kazi zangu za sanaa na hiyo picha ni moja ya clip ambazo zipo katika film hiyo..

 
Watu wakiomba dua katika kaburi la Madebe lidai ndani ya film hiyo huku mashahidi yakiandikwa jina la madebe lidai

2 comments

nazipenda filamu anazozitoa .. zina mafunzo kababmbe... nitazungumza nae vipi...?

Uko sawa madebe endelea vivyohivyo


EmoticonEmoticon